Matthew 18:28

28“Lakini yule mtumishi alipokuwa anatoka nje, akakutana na mtumishi mwenzake aliyekuwa amemkopesha dinari
Dinari moja ilikuwa kama mshahara wa kibarua wa siku moja.
mia moja. Akamkamata, akamkaba koo akimwambia, ‘Nilipe kile ninachokudai!’

Copyright information for SwhKC